Masharti ya Kutumia

1. Kutumia xLingua

xLingua ni huduma ya lugha kadhaa kwenye internet. Huduma hio inatoa kamusi kadhaa za internet pamoja na „application programming interface“ (API) yake.Kutumia huduma ya msingi yaani kamusi ni bure. Imekatazwa kuendeleza huduma za xLingua kwa wengine na kuwaombea malipo isipokuwa mwenye haki anakubali na kuandika hivyo.

2. Wajibu

xLingua haiwajibiki lo lote kutoka matumizi ya xLingua. Haiwezekani kuhakikisha ukweli wa matafsiri na kwamba xLingua isifanye makosa.Pia haihakikishi kwamba huduma zake zipatikane popote kila wakati.xLingua haina wajibu wowote kuhusu maudhui ya tovuti nyingine zilizounganishiana na xLingua. Hivyo ni kwa viungo vyote.Maudhui zinazoingizwa katika vikundi na watumiaji wa vikundi ni wajibu wao tu.Mashauri ya tafsiri yanatathminiwa kwa ajili ya kuzuia matumizi mabaya.Ikiwa viungo, maoni katika vikundi au matafsiri zinaelekea mambo yasiyo halali, viungo, maoni au matafsiri hizo zitaachwa na xLingua. Ukitia tuhuma kuhusu matumizi mabaya tafadhali tupashe habari. Asante.

3. Kuchambua na kukinga data

xLingua haitawala data binafsi za watumiaji.Matumizi ya kamusi yanawezekana bila kujiandikisha.Kwa matumizi ya huduma nyingine mteja anahitaji kujiandikisha katika czPayment.czPayment inatawala data binafsi za watumiaji kama iliyoandikwa kwenye masharti ya czPayment.Matumizi ya huduma nyingine za xLingua yanapatikana baada ya kujiandikisha katika czPayment tu.

4. Chapa ya kunakili